Kuhusu Shita Saloon
Sisi ni kituo bora cha urembo na unyozi kinachochanganya sanaa na weledi. Tunatumia vifaa vya kisasa vilivyotakaswa (sterilized) kuhakikisha usalama wa wateja wetu. Lengo letu ni kumfanya kila mteja anayehudumiwa na Shita Saloon atoke akiwa na muonekano mpya na wa kujiamini.