Shita Saloon

Shita Saloon

Sisi ni kituo bora cha urembo na unyozi kinachochanganya sanaa na weledi. Tunatumia vifaa vya kisasa vilivyotakaswa (sterilized) kuhakikisha usalama wa wateja wetu. Lengo letu ni kumfanya kila mteja anayehudumiwa na Shita Saloon atoke akiwa na muonekano mpya na wa kujiamini.

Angalia Huduma

Huduma Zetu

Huduma za Watoto

Kukata nywele watoto kwa umakini na utulivu wa hali ya juu

Tsh 2,000

Dye & Hair Treatment

Kupaka rangi nywele na kuziweka dawa ili zisiwe ngumu au kukatika

Tsh 8,000

Pedicure & Manicure

Matunzo ya kucha za mikono na miguu kwa ajili ya usafi na afya ya ngozi

Tsh 15,000

Facial & Scrub

Kusafisha ngozi ya uso, kuondoa chunusi na uchovu ili uwe na ngozi nyororo.

Tsh 10,000

Huduma ya Ndevu (Beard Trim & Grooming)

Kusafisha na kuchonga ndevu kwa kutumia mashine na dodoki la kisasa.

Tsh 5,000

Kunyoa na Mitindo (Haircut & Styling)

Huduma ya kukata nywele kwa mitindo ya kisasa (O-ten, Fade, au Dreadlocks).

Tsh 5,000

Matunzio Yetu

saloon 2 saloon 1 saloon Barber

Wateja Wanasema

Hakuna maoni bado.